Mfumo wa Taarifa ya Usimamizi wa Duka la Dawa
Nini Maana ya Mfumo wa usimamizi wa Duka?
Ni mfumo wa kielectroniki ambao husimamia shughuli zote za uuzaji, upigaji mahesabu, utoaji ripoti na udhibiti wa bidhaa. Ni mfumo mpya wenye malengo ya kuimarisha na kuongeza mauzo yabidhaa zako na kupunguza kila aina ya ubadhilifu unaoweza kutokea kwenye famasia yako.
Biashara nyingi
za maduka ya madawa huamini kwamba kutumia programu ngumu kwa
madhumuni ya usimamizi ni vigumu kujifunza na kuona operesheni ya
mwongozo zaidi ni nzuri. Basi tiba ya tatizo hilo imepatiwa ufumbuzi yakinifu. Mfumo huu wa usimamizi wa duka la dawa unaweza ukatumika katika maduka makubwa, maduka ya wastani na maduka madogo.
FAIDA UNAZOWEZA KUZIPATA UKITUMIA MFUMO WA USIMAMIZI WA DUKA
- Unaweza ukaziweka kazi zote katika mfumo wa automatiki
- Kupunguza gharama zako za kufanya kazi ni moja ya faida kuu a ya mfumo huu
- Inaweza kuhifadhi historia ya mgonjwa
- Unauwezo wa kupata taarifa zote muhimu juu ya mauzo ya dawa ndani ya muda mfupi
- Huokoa muda kwa kupunguza muda wa makaratasi kama njia ya kuhifadhi kumbukumbu.
- Hutoa mahesabu sahihi na kwa ufasaha
- Huweza kudhibiti kila aina ya udanganyifu unaofanywa na wauzaji
- Kupunguza gharama zako za kufanya kazi ni moja ya faida kuu za programu
- Hupunguza makosa yanaweza kutokana na makosa ya kiubinadamu nk.
"TUNAIFANYA BIASHARA YAKO IWE BORA NA YENYE KULETA FAIDA KUBWA"
WASASILIANA NASI KUPITIA
Mob No: 0171411775 / 0753033101 / 0715411245
Barua Pepe: isdorykitunda@gmail.com/sirgwaje@gmail.com
YOU HAVE EXPLAINED WELL I LOVE IT
ReplyDeletesee this
ReplyDelete