Saturday 5 August 2017

FAHAMU MAMBO 10 AMBAYO KIZAZI CHETU KINAYOKOSEA

Written By: Evarist G.I.


Tunaishi katika kizazi ambacho wazo la kushirikiana kijamii limeminya sana kutokana na ujio wa technolojia ya mtandao. Tunapozidi kuendelea kama binadamu katika karne hii ya 21, kuna baadhi ya vitu ambavyo tumeviacha nyuma. Hapa kuna mambo 10 ambayo yanaenda tofauti na kizazi chetu.


1. Tunatumia muda mwingi kuongeza idadi ya marafiki kuliko kuboresha urafiki 


2. Tunavutiwa zaidi na kupakua wallpapers za maeneo mazuri kuliko  kuchukua muda kutembelea maeneo hayo. 



3. Tunatumia maneno machache na zaidi 'Emoticons' na 'memes' kujieleza wenyewe.


4. Tunatumia wakati mwingi kuangalia kwenye skrini zetu za simu kuliko kutazama uumbaji mzuri wa asili karibu na sisi.











5. Katika kizazi chetu ambacho mafanikio na furaha hua ni sawasawa na kiasi cha pesa ambacho kipo benki na  si kwa kufanya tu kile moyo wako unachotamani na kuongoza maisha ya unayoyapenda.



6. Tuna watu maarufu maelfu lakini ni wachache tuu walio mashujaa.

7. Tunakubali maonyesho ya televisheni ambapo watu wa kawaida wanahukumiwa na kudhihakiwa hadharani na watu maarufu badala ya kutumia muda mwingi kuona vipindi ambavyo hutupima uwezo wa kufikiri na kutufanya tufikiri.






8. Sinema kubwa za sauti na maandiko ya flilamu zimeweza kutawala wakati sinema ya ujasiri na za kutisha zinapotea kutoka kwenye sinema zisizojulikana.     

9. Kupigana kwa sababu za kijamii katika ulimwengu wa leo kunamaanisha kuweka tu taarifa mpya kwenye Facebook badala ya kutoka nje ya facebook na kufanya vitu vinavyo shikika.


10. Tunajua zaidi kuhusu maisha ya nyota wa filamu na maisha yao kuliko urithi wa taifa letu na wapiganaji wetu wa uhuru. 



THANKS FOR VISITING US!
SHARE TO YOUR FRIENDS 
&
REMEMBER: "Imagination is more important than knowledge"- Einstain
 Visit Us at: https://www.instagram.com/theactivedream/
 

No comments:

Post a Comment