Wednesday 9 August 2017

Zijue Sababu Kuu 5 za Kumiliki BLOGU/TOVUTI Yako Mwenyewe



Written By: Evarist G.I
SABABU KUU 5 ZA KUMILIKI BLOG/TOVUTI




Jinsi muda unavAyozidi kwenda Blog/Tovuti zimekua sehemu muhimu ya kujitengenezea kipato kama zilivyo kazi nyingine, muda wa kufanya kazi umetoka kama muda wa ziada na kua muda wa kudumu.

 Kuna njia nyingi unaweza kuwa blogger unaweza kuanza na blogu yako, au unaweza kujiunga na kampuni fulani inayomiliki blogu na kujiunga na timu yao.

Hata hivyo, blogu inachukua muda kabla ya kuanza kukupatia pesa, hivyo si tu kukurupuka katika uwanja wa blog ndani ya siku moja. Mwanzo unapoanza unahitaji kutumia nguvu nyingi, unatakiwa ujitolee na muda mwingine unaweza hata ukachanganyikiwa. Kwa hiyo inashauriwa kwamba usiache kazi yako kwanza kabla ya kufanya kazi kwenye blogu yako. Au unashauriwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi 4-6 kutengeneza pesa ya dharura kabla ya kuacha kazi yako na kujitegemea kwenye blog yako.

Leo nitazungumzia faida mbalimbali za kumiliki blogu/Tovuti yako binafsi na itakusaidia vipi.


FAIDA 5 ZA KUMILIKI BLOGU/TOVUTI YENYE MANUFAA

 Kumiliki blogu yangu mwenyewe nimeweza kujua faida kadhaa za kuwa na blogu/tovuti. Ndio /maana nikaja na wazo la kushirikisha kwenu wasomaji ni kwanini kila mtu anatakiwa awe na blogu/tovuti yake au ya kampuni yake binafsi. 

Makala hii inajaaribu kuelezea faida za kuwa na tovuti itakayoweza kukuingizia pesa na kua kama sehemu sahemu ya kazi yako. 



Tofauti na kazi nyingine yoyote, katikai blogu, huhitaji kufanya kazi kutoka masaa 9-5. Unaweza kufanya kazi wakati wowote wa siku na kwa urahisi. Wewe ni bosi. Wewe upo huru kufanya chochote. Unaweza kupanga kazi yako na kwa urahisi. Hakuna mipaka ya kufanya kazi zako.



Hii ni kwa wanablogu wa muda. 

Kumbuka siku unaporejea kutoka kwenye kazi yako, na unataka kuandika makala kwa blogu yako, unashindwa kwa sababu huna nguvu tena unakua umechoka. Bosi wako anakua amekunyonya nguvu zako zoote na unakosa hata nguvu ya kuweza kuandika makala zako. 

Lakini unapokua unafanya blogu muda wako wote unakua na nguvu nyingi sababu unaweza ukajipangia ni muda upi uweze kufanya kazi zako bila kuamliwa na mtu yoyote. 

Kufanya kazi kama mmiliki wa blogu/tovuti yakinifu kutakufanya uwe na nguvu zaidi ya kufanya kazi zako kwa bidii, na kutakufanya uweze kufanya kazi kwa ubunifu na uhuru.



 Hakuna mtu anayekupa amri. Unaweza kufanya kazi yako kwa uhuru. Unaweza  kuzingatia kazi yako na kuandika baadhi ya machapisho kila siku.

Unaweza kufanya kazi yako kwa namna iliyopangwa. Kila kitu kinakuwa rahisi sana, unaweza ukajisifia kwa kazi yako au kujikosoa kazi yako.


  



Ikiwa unatoa huduma kama vile kuunda blogu, ushauri wa blogu au huduma nyingine yoyote kupitia blogu yako, basi unaweza kupatikana wakati wote kwa wateja wako.

Unaweza kutoa muda zaidi na zaidi kwa wateja wako, na unapata wakati zaidi wa kutafuta wateja wapya.

Hakuna kikomo cha wakati. Hakuna kuchanganyikiwa.
   
Mfano halisi: "Mfugaji wa kuku wa nyama unaweza ukajipatia soko la uuzaji wa kuku kwa urahisi kama utaweza kumiliki blogu/ tovuti yako, kwani watu wanaweza wakawaona kuku wako kwa njia ya picha ikiwezekana video ya kuku wako. Wakulima waliio endelea duniani humiliki blogu au tovuti kama sehemu kuu ya kutangaza soko la bidhaa yao ya ufugaji"

Unasubiri nini sasa kumiliki blogu/tovuti  
 yako binafsi ili uweze kutangaza kazi ya mikono yako


WASASILIANA NASI KUPITIA 

Mob No: 0171411775 / 0753033101 / 0715411245

Barua Pepe: isdorykitunda@gmail.com/sirgwaje@gmail.com 

Vipengee vyote nilivyosema hapo juu vinasababisha kuongezeka kwa mapato ya blog/tovuti na biashara yako kwa ujumla. Unaweza kuingiza kiasi kikubwa zaidi cha pesa kushinda mshara wako. Ikiwa una bahati, unaweza kupata kazi zaidi na zaidi. Unaweza kupata mara mbili au tatu zaidi ya mshahara wa kazi yako ya siku.

Binafsi, nilipoacha kazi yangu na kufanya kazi ya blogu wakati wote, nilitengeneza pesa zaidi kutoka kwenye blogu kuliko kazi yangu ya kawaida. Na sasa mapato yangu mtandaoni yameongezeka. Hata hivyo, uamue kama unaweza kutumia masaa 16 kwa siku kwenye mtandao? 


THANKS FOR VISITING US!
SHARE TO YOUR FRIENDS 
&
 

There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure. Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure. Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
"Hakuna siri za mafanikio. Ni matokeo ya maandalizi, kazi ngumu, na kujifunza kutokana na kushindwa."
  Colin Powell
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure. Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business

 
WASASILIANA NASI KUPITIA 
Mob No: 0171411775 / 0753033101 / 0715411245
Barua Pepe: isdorykitunda@gmail.com/sirgwaje@gmail.com

No comments:

Post a Comment