Wednesday, 3 May 2017

Mambo 10 Usiyo Yajua Kuhusu Jeshi la Marekani

By TheActiveDream

Jeshi la Marekani na idara ya ulinzi hutumia gharama kubwa na inaushawishi mkubwa katika serikali na wananchi wake. Wananchi wengi wa marekani hawajui mambo mengi kuhusu jeshi lao. Wananchi wanajua umuhimu wa ulinzi wa raia na nchi yao kwa ujumla kama ni sehemu ya kipaumbele zaidi.




Yafuatayo ni Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu Jeshi na Idara ya Ulinzi wa Marekani (USA).

#1. 31 kati ya 45 walitumikia jeshi: 24 katika kipindi cha vita, 2 walitunukiwa nyota 5 za heshima (Rais Washington and Rais Eisenhower), na mmoja alitunukiwa medali ya heshima (Rais Theodore Roosevelt).

 #2. Chini ya 28% ya Wamerakani kati ya umri wa miaka 17-23 walifanikiwa kufuzu mafunzo ya kijeshi na ni 1-4.

#3. Idara ya Ulinzi  huajiri watumishi walio na uwezo wa kufanya kazi milioni 1.8. Idara hii ndio namba 1 ya kuajiri watu watumishi wengi zaidi nchini Marekani, zaidi ukilinganisha na Exxon, Mobil, Ford, General Motors, and GE ukizijumlisha kwa pamoja.

#4. Jeshi  lina jukumu la kufanya utafiti na ugunduzi nchini marakani.

#5. Jumla ya ardhi inayokaliwa na jeshi la marekani kama kambi zake ni maili za mraba 15654 ukubwa zaidi ya Washington DC, Massachusetts na New Jersey ukiujumlisha pamoja.

#6. Pentagoni ilipanga kupunguza bajeti ya mwaka 2013  zaidi ya dola za kimarekani bilioni 487  kwa muongo mmoja ujao.

#7. Jeshi la pwani hushika pauni 169 ya mihadarati na zaidi ya pauni 365 ya kokeni (cocaine), yenye thamani ya dola za Kimarekani
$9,589,000.00 kilasiku.

#8. Kila siku serikali ya Marekani inatumia kiasi kikubwa cha pesa chenye uwezo wa kujenga Pentagoni yote.

#9. Pentagoni haikujengwa kwa kutumia marumaru sababu ilijengwa kipindi cha vita ya pili ya dunia na marumaru ilikua ikipatika Italy ambayo ilikua ni nchi pinzani.

#10. Mwaka 2008, Pentagoni ilitumia zaidi kwa kila sekunde nchini Iraq kuliko kipato cha mwananchi wa maisha ya kati kwa mwaka mzima.


Je, nini maoni yako kuhusiana na mambo haya kumi ya Jeshi na Idara ya Ulinzi wa Marekani? 
Usisite kutoa maoni yako hapo chini.


Thank You Very Much for Your Time
Credit: america today, wikipedia aljazeera.com and theActiveDream_count down

No comments:

Post a Comment