Sunday, 11 June 2017

Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu Steve Jobs - Sehemu ya 1

Author: SirGwajeTv


Dunia ikiamini kua ndiye baba wa teknolojia mpya wa kizazi chetu na mbunifu wa biashara wa karne ya 21. Steve Jobs mtoto aliyelelewa na mama wa kambo  alionekana kua mgumu sana kuelewa lakini toka katika uelewa mdogo na kuja kuwa GENIUS.
Steve Paul Jobs


Yafuatayo ni mambo  kumi muhimu usiyo yajua kumhusu Steve Jobs. 
Ungana nami hatua kwa hatua

#1.
Steve Jobs hakulelewa na wazazi wake.  Baba yakemzazi alikua anaitwa Abdulfattah Jandali, Muislamu kutoka Syria.

#2.
Steve Jobs hakuwahi kuandika hata msatari mmoja wa programu ya computer katika utengenezaji wa bidhaa za Apple na iPhone.

#3.
Steve jobs alikua mgumu kuelewa kusoma, kuandika na kuhesabu alipokua mdogo.

#4.
Kila tangazo (AD) kwenye simu za iPhone hua zinaonekana 9:41 AM, Muda ambao Steve Job alizindua mwaka 2017.

#5.
Steve Jobs alipewa zaidi ya haki miliki mpya 141  tangu alipoaga dunia.

#6.
Mfano wa iPod ya kwanza kutengenezwa ilipoonyeshwa kwa Steve Jobs, Aliibamiza chini ikapasuka na kuwaambia ni kubwa sana imejaa hewa tuu inaweza ikapunguzwa na kua ndogo zaidi.

#7.
Sekretari siku moja alichelewa kufika kazini kwa sababu injini ya gari lake ilizimika na kugoma kuwaka. Mchana wa siku ile Steve Jobs alimtupia ufunguo wa gari aina ya Jaguar   akisema: "Shika na usichelewe siku nyingine"

####################


####################
#8.
Steve Jobs alikua akiamini kula chakula kisicho na nyama, kingeweza kumuondolea umuhimu wa kuoga. 

#9.
Biblia, Ukurasa wa Maisha ya Steve Jobs (Steve Jobs Bio) na The Hunger Games ndio vitabu vinavyoongoza kwa kuwatia watu hamasa zaidi kuliko vitabu vyote duniani.

#10.
Abraham Lincoln, Walt Disney, Bill Gates, Henry Ford, Thomas Edison,  na Steve Jobs wote hawakumaliza elimu ya chuo kikuu.


"Innovation distinguishes between a leader and a follower."
Steve Jobs

 THANKS FOR VISITING OUR SITE
SHARE TO YOUR FRIENDS

Credit: Steve_Job and sirgwajeTv.