Kuendesha biashara yako mwenyewe sio kazi rahisi, na orodha yako ya kufanya ni kazi isiyoisha kamwe. Kama nilivyosema hapo juu, haitakiwi ufanye mambo kwa harakaharaka ili uwahi kumaliza kazi pale unapotakiwa uonekane mtandaoni. Kuanzisha tovuti yako ni kitu chamsingi sana, hasa pale unapotaka kuiweka biashara yako katika hadhi ya juu, unatakiwa uwafanye wateja wako wajisikie nyumbani kila wanapokua wakitembelea tovuti yako. Tovuti yako inatakiwa iwe ni kitovu cha biashara yako itakayo wavutia wateja mahali popote na kuwafanya wateja wajihusishe moja kwa moja katika biashara yako. Ukiwa na mtazamo huu katika akili yako ni vyema basi ufahamu faida kuu 3 za kumiliki tovuti kwenye biashara yako.
1. Maoni ya Mwanzo Huesabika (First Impressions Count )
Tunaishi katika dunia ambayo watu kabla hawaja nunua bidhaa hutembelea tovuti ya GOOGLE GOOGL -0.13% , kujua bei ya bidhaa mbali mbali, hutembelea tovuti kama e-bay na Alibaba.
kujua mabadiliko mbalimbali ya bei za bidhaa zilizo nafuu. Kwa sababu hii unapoanzisha tovuti kitu cha kwanza kabisa ni kuwafurahisha wateja na kuwaridhisha, wateja hua wanafanya maamuzi ya kutembelea dukani, mgahawani au ofisini kwako kulingana na vitu vitakavyo wavutia kutoka kwenye tovuti yako. Pia wanaweza wakaamua wasitembelee teena tovuti yako kwa sababi hawaoni kitu chochote kinacho wavutia, au hauna uzoefu wa kutoa huduma inayo stahiki kwao au hawaoni huduma sahihi unayotakiwa uitoe.
2. Ununuzi wa Dirishani Hautakiwi (Window Shopping Isn't What It Use to Be )
Kutembelea mtaa ambao duka/biashara yako ipo sio njia sahihi pekee ambayo wateja huiangalia siku hizi. Kwa
kawaida wateja hutembelea tovuti kama Yahoo, Bing, Google, Yelp na maeneo mengine ya
mtandaoni, wateja wanatafuta daima wapi wanapanga manunuzi yao
ya siku zijazo. Hakikisha biashara yako imewakilishwa vyema kwenye mitandao hiyo, lakini cha kuongezea ilitovuti yako iweze kuonekana zaidi huna budi kuiunganisha na injini za kutafuta tovuti (website search engine)kama vile google, yahoo, etc. Zaidi ya kumiliki tuu anuani ya tovuti URL pia unatakiwa uhakikishe anuani ya mtaa unaofanyia biashara, namba ya simu, na anuani ya barua pepe zinaoneka vizuri. Linki za mitandao ya kijamii ni muhimu pia lakini unatakiwa uwepo mtandaoni mara kwa mara.
3. Huna Tovuti Basi Biashara Yako Itakufa (No Website Means Losing Business )
Kwa sasa ni dhahiri kwamba kama huna tovuti, utakosa fursa kwa wateja kutambua wewe ni nani na kama wanataka kufanya biashara na wewe. Kama unamiliki tovuti mbaya ni bora usimiliki tovuti kabisa. Lakini kama huna tovuti unatakiwa ujue kabisa unakosa nafasi ya kufanya vizuri katika biashara yako, na kuwa na tovuti mbaya ni bora usiwe nayo kabisa kwa sababu itakufanya uonekane unabiashara mbaya. Kuwepo
tovuti nyingi zinazopatikana leo, kama Shopify.com, ili
uweze kufananisha biashara yako ya pekee, hakika hakuna kisingizio cha
tovuti yako kutokua yenye faida na ya mafanikio. Tovuti mbaya ni bora kutokua na tovuti kabisa.
Biashara ya karne ya 21 imetawaliwa mtandaoni, makampuni mengi yaliyofanikiwa duniani kama Alibaba.com, apple.com, nk. zimeweza kufanikiwa sana kutokana na nguvu ya mtandao kupitia tovuti zao. Nchini kwetu Tanzania biashara ndogo na kubwa zimekua zinakufa kwa sababu kutokua na tovuti bora.
UNASUBIRI NINI SASA? MAFANIKIO YA BIASHARA YAKO YAPO MIKONONI MWAKO
WASILIANA NASI KWA KWA MAATENGENEZO YA TOVUTI NZURI NA ZA KISASA KWA BEI NAFUU KABISA.
The science of today is the technology of tomorrow.
Edward Teller
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/topics/topic_technology.ht
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/topics/topic_technology.ht
Sayansi ya leo ni teknolojia ya kesho. Edward Teller
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure.
Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
WASASILIANA NASI KUPITIA
Mob No: 0171411775 / 0753033101 / 0715411245
Barua Pepe: isdorykitunda@gmail.com/sirgwaje@gmail.com
THANKS FOR VISITING US!
SHARE TO YOUR FRIENDS
&
DON'T FORGET TO COMMENT BELOW
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure.
Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure.
Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
“The true ENTREPRENEUR is a risk taker, not an excuse maker.
―
VDEXTERS"
No comments:
Post a Comment