Picha: Paul Walker |
Leo tunajaribu kuangalia kwa undani ni kanuni zipi alizozitumia bwana Paul Walker kumfanya awe mtu mwenye mafanikio kiuchumi na katika sanaa ya maigizo. Hadi siku ambayo Paul Walker alipata ajali mbaya ya gari iliyompotezea uhai wake alikua na utajiri wa dola za Kimarekani Millioni 32 (USD 32m).
HIZI NDIZO SIRI 10 ZA MAFINIKIO ALILIZITUMIA PAUL WALKER
Siri#1: Fanya Kile Ukipendacho
Siri#2: Kuwa Sehemu Ya Kitu Kikubwa
“To be a part of something that people really appreciate, as much as maybe certain people hate to admit it, it’s important to us, you know, as humans.” – Paul Walker
Siri#3: Fanya Jitihada Kwa Nguvu Zako Zote
“One day at a time for me, that’s the way I live my life, that’s the way I do my job. Just come in and I try to do my best, I give it 110%.” – Paul Walker
“I got lucky. But it’s just, you know, following your heart kind of thing. And it wasn’t even about down the road, it was about living in the moment. And I got lucky.” – Paul WalkerSiri#5: Zingatia Yalio Muhimu Tuu
Siri#6: Kua na Mtazamo wa Mbele“It’s always been the more simple things in life that I’ve appreciated.” – Paul Walker
Siri#7: Wajali Mashabiki Wako
Siri#8: Fanya Kazi Vizuri na Wengine
“Learn to accept people for who they are and what it’s about.” – Paul Walker
Rule#9: Kua Mfanisi
“We really believe if you can impact one person’s life, one family’s life, that radiates from that. And so that’s the philosophy and that’s what we’re trying to stick with.” – Paul Walker
Rule#10: Zungukwa na Watu Muhimu
“What makes it live and breathe are the people that subscribe to the philosophy and the idea and the people that are involved have just taken it to a completely different level so I’m really fortunate. And the people that are involved are just really good people.” – Paul Walker
nilikua namkubali sana huyu jamaa
ReplyDelete