Friday 14 April 2017

Wachezaji 10 Bora Katika Historia ya AC Milan

By TheActiveDream


AC Milan inabakia kuwa kati ya timu bora zaidi katika sura ya dunia.
Tangu ilipoanzishwa mwaka 1899 na Herbet Kilpin na  Alfred Edwards AC Milan Imefanikiwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya Italy Serie A mara 18, Supercoppa Italiana 6, Coppa Italia 5, Intercontinental Cups 3, FIFA club world cup 1,  Champions league 7, Uefa supercup 5, na winners cup 2.

Kutokana na historia kubwa sana ya Klabu hii, itakua ngumu sana kusema mafanikio ya timu hii yalitokana na miujiza tuu, bali ni wachezaji wenye vipaji lukuki katika kila pembe ya uwanja.

Wachezaji wengi ni wazuri sanaa lakini sio wote watakao onekana katika listi yangu hii vitu vya kuzingatiwa ni mafanikio binafsi, mafanikio ya ujumla (team achievement), mafanikio ya kidunia, kipaji na mapenzi ya mashabiki. Hawa ndio wachezaji wangu bora zaidi katika historia ya AC Milan.

10. George Weah

Maarufu kama King George ni mchezaji bora wa karne ya 20th  wa bara la Africa. Alijikusanyia vikombe vingi binafsi na klabuni kwake kwa kipindi cha miaka 14 alichocheza soka. Kitu pekee ambacho mashabiki wa AC Milani wanajilaumu juu ya George Weah ni kwamba alichelewa kufika klabuni hapo.

Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Serie A: 1995-96 na 1998-99
Mafanikio Binafsi
  • Onze d'Or: 1995
  • Ballon d'Or: 1995
  • FIFA World Player of the Year: 1995
  • African Footballer of the Year: 1989, 1994, 1995
  • UEFA Champions League top scorers: 1994-95
  • FIFA Fair Play Award: 1996
  • African Player of the Century: 1996
  • FIFA 100
9. Andrea Pirlo

Mchezaji aliyekua anacheza kifahari, bila kutumia nguvu nyingi na mchezaji nadra sana kwenye ulimwengu wa soka, hakujaliwa kuwa na vitu vingu sana lakini alikua akiitwa "I architetto" maanake ni mbunifu ambaye hakua akitumia nguvu nyingi sana alipokua uwanjani.
ilikua ni vigumu sana kuona anachokifanya uwanjani lakini watu wanaojua mpira huona uzuri aliojaliwa nao katika kufanya mambo uwanjani hasa upigaji wake wa pasi na mipira iliyokufa.


Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Serie A (two) : 2004, 2011
  • Coppa Italia (one) : 2003
  • Supercoppa Italiana (two) : 2004, 2011
  • UEFA Champions League (two) : 2003, 2007
  • UEFA Super Cup (two) : 2003, 2007
  • FIFA Club World Cup (one) : 2007
Mafanikio Binafsi
  • Serie A Young Footballer of the Year: 1998
  • Serie A Defender of the Year: 2000, 2001, 2002, 2003
  • UEFA Club Football Awards Best Defender: 2003
  • UEFA Team of the Year: 2002, 2003, 2004, 2007
  • UEFA Euro Team of the Tournament: 2000
  • FIFPro World XI: 2005, 2007
  • FIFA 100
8. Alesandro Nesta

Mchezaji wa zamani na nahodha wa Lazio anaaminika kati ya beki bora kabisa wa kati katika ulimwengu wa kandanda duniani.  
Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Serie A (two) : 2004, 2011
  • Coppa Italia (one) : 2003
  • Supercoppa Italiana (two) : 2004, 2011
  • UEFA Champions League (two) : 2003, 2007
  • UEFA Super Cup (two) : 2003, 2007
  • FIFA Club World Cup (one) : 2007
Mafanikio Binafsi
  • Serie A Young Footballer of the Year: 1998
  • Serie A Defender of the Year: 2000, 2001, 2002, 2003
  • UEFA Club Football Awards Best Defender: 2003
  • UEFA Team of the Year: 2002, 2003, 2004, 2007
  • UEFA Euro Team of the Tournament: 2000
  • FIFPro World XI: 2005, 2007
  • FIFA 100
 
7. Ruud Gullit
 Mchezaji mwenye kipaji cha juu, Gullit ni ngao moja kati ya ngao 3 ambazo ziliweza kutengeneza msingi wa mafanikio katika klabu ya AC Milan wengine wawili ni Frank Rijkaard na Marko Van Basten. Mdachi huyua kua  licha ya kua n a nguvu, kasi, Ruud alikua na uwezo wa kupiga pasi za uhakika, alikua na uwezo wa kuchezea mpira katika namna ya ajabu sana na alikuwa na uwezo nwa kupiga mashuti makali kwa umbali wowote ule.

Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Serie A: 1988, 1992, 1993
  • Supercoppa Italiana: 1988, 1992, 1994
  • European Cup: 1989, 1990
  • UEFA Super Cup: 1989, 1990
  • Intercontinental Cup: 1989, 1990
Mafanikio Binafsi
  • Netherlands Player of the Year: 1981
  • Dutch Footballer of the Year: 1984 1986
  • Netherlands Cup Top Scorer: 1984
  • Dutch Golden Shoe Winner: 1986
  • Netherlands League Top Scorer: 1986
  • Dutch Sportsman of the Year: 1987
  • Ballon d'Or: 1987
  • IFFHS Best World Player of the Year: 1988 (bronze), 1989 (bronze)
  • UEFA European Championship Dream Team: 1988, 1992
  • 1988 European Championship Silver ball
  • UEFA Player of the Year: 1989 (second)
  • Silver Ball English League Player of the Year: 1996
  • Chelsea Player of the Year: 1996
  • FIFA 100
 6. Andriy Shevchenko
Kutokana na uhamisho wa kitita cha Euro milini 28 mnamo mwaka 1999, Sheva alijiwekea uhakika wa kuwa kipenzi cha mashabiki wa jiji la Milan  pale alipochukua ubingwa wa Serie A kwa kufunga goli 24 kati ya mechi 32 alizocheza.
Sheva ndiye mfungaji bora wa 2 katika historia ya klabu ya AC Milan akiwa na goli 173

Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Serie A: 2003–04
  • Coppa Italia: 2003
  • Supercoppa Italiana: 2004
  • UEFA Champions League: 2003
  • UEFA Super Cup: 2003
Mafanikio Binafsi
  • Ukrainian Footballer of the Year: 1997, 1999, 2000, 2001, 2004, 2005
  • Commonwealth of Independent States Cup Top Scorer: 1997
  • Ukrainian Premier League Top Scorer: 1999
  • ESM Team of the Year: 1999-00, 2003-04, 2004-2005
  • UEFA Champions League Top Scorer: 1998-99, 2005-06
  • UEFA Champions League Best Forward: 1999
  • UEFA Team of the Year: 2004, 2005
  • Serie A Foreign Footballer of the Year: 2000
  • Serie A Top Scorer: 1999-00, 2003-04
  • Best Player of Eastern Europe - Focus Vest magazine Trophy: 2001
  • Baltic and Commonwealth of Independent States Footballer of the Year: 2004, 2005
  • Ballon d'Or: 2004
  • 2004 FIFA World Player of the Year Third
  • Golden Foot award : 2005
  • FIFPro World XI: 2005
  • Ukraine all-time Top Scorer
  • Derby della Madonnina all-time top scorer
  • FIFA 100
5. Marco Van Basten
Bila shaka yoyote Van Basten ni gwiji aliyejiwekea heshima isiyofutika katika klabu ya AC Milan. Alikua ni mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa sana wa kufunga magoli ya kila aina na inaaminika kama isingekua majeraha yaliyomfanya astaafu akiwa na umri wa miaka 29 angeweza kuweka recodi kubwa zaidi.

Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • European Cup:1989, 1990
  • Intercontinental Cup:1989, 1990
  • European Supercup:1989, 1990
  • Serie A:1987-88, 1991-92, 1992-93
  • Supercoppa Italiana:1988, 1992, 1993
Mafanikio Binafsi
  • FIFA World Player of the Year: 1992
  • World Soccer Player of the Year: 1988, 1992
  • UEFA Best Player of the Year: 1989, 1990, 1992
  • IFFHS Best Player of the Year: 1988, 1989, 1990
  • Onze d'Or: 1988, 1989
  • Onze d'Argent: 1987, 1992
  • Bravo Award: 1987
  • UEFA European Championship 1988
  • European Footballer of the Year: 1988, 1989, 1992
  • Dutch Footballer of the Year: 1984-85
  • FIFA 100
  • European Golden Boot: 1985-86
  • European Silver Boot: 1983-84
  • European Cup Top Scorer: 1989
  • European Cup Silver Top Scorer: 1993
  • Dutch League Top Scorer: 1983-84, 1984-85, 1985-86, 1986-87
  • Serie A Top Scorer: 1989-90, 1991-92
  • Serie A Silver Top Scorer: 1988-89
  • World Golden Boot: 1985-86
4. Kaka
Kasi, pasi za uhakika na ufungaji hodari vinamfanya Kaka awe kati ya wa wachezaji wachache zaidi walioteka nafsi za mashabiki wengi dunia hasa kwa tabia yake nzuri nje na ndani uwanja. Kaka ndiye mchezaji mpira wa miguu balozi mdogo kabisa katika UMOJA WA MATAIFA (UN World Food Program)  mwaka 2004.

Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Serie A: 2003-04
  • Supercoppa Italiana: 2004
  • UEFA Champions League: 2006-07
  • UEFA Super Cup: 2003, 2007
  • FIFA Club World Cup: 2007
  • Trofeo Luigi Berlusconi: 2005, 2007(January), 2007(August), 2008
  • TIM Trophy: 2006, 2008
Mafanikio Binafsi
  • Revista Placar Bola de Ouro: 2002
  • Campeonato Brasileiro Bola de Prata (best player by position): 2002
  • CONCACAF Gold Cup Best XI: 2003
  • Serie A Foreign Footballer of the Year: 2004, 2006, 2007
  • Serie A Footballer of the Year: 2004, 2007
  • UEFA Champions League Bronze Top scorer: 2005-06
  • UEFA Champions League Best Midfielder: 2005
  • UEFA Team of the Year: 2006, 2007,2009
  • FIFPro World XI: 2006, 2007, 2008
  • Pallone d'Argento: 2006-07
  • UEFA Champions League Top Scorer: 2006-07
  • UEFA Champions League Best Forward: 2006-07
  • UEFA Club Footballer of the Year: 2006-07
  • FIFPro World Player of the Year: 2007
  • Ballon d'Or: 2007
  • FIFA Club World Cup Golden Ball: 2007
  • Toyota Award: 2007
  • FIFA World Player of the Year: 2007
  • Onze d'Or: 2007
  • World Soccer Player of the Year: 2007
  • IFFHS World‘s Best Playmaker: 2007
  • IAAF Latin Sportsman of the Year: 2007
  • Time 100: 2008, 2009
  • MaracanĂ£ Hall Of Fame: 2008
  • Samba d'Or: 2008
  • FIFA Team of the Year: 2008
  • FIFA Confederations Cup Golden Ball: 2009
  • FIFA Confederations Cup Best XI: 2009
  • Marca Leyenda: 2009
  • FIFA World Cup Top Assister : 2010
  • Real Madrid vs Real Sociedad Man-of-the-Match
3. Gunnar Nordah
Alikua kati ya washambuliaji waliokamilika zaidi katika ulimwengu wa soka. Lakini inashangaza sijui ni kwanini Mswedish huyu sio maarufu hivi leo.
Kwa kipindi cha miaka 8 alichochezea pale Milan Gunnar aliweza kuweka recodi ya kipekee ya upachikaji mabao, aliifungia AC Milan magoli 210 kati ya mechi 257, uwezo wake wa kufunga goli ulikua ni wastani ya 0.817 .
 

Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Italian Serie A: 1950-1951, 1953-1954
  • Italian Cup (four)
  • Coppa Latina (two)
Mafanikio Binafsi
  • Italian Serie A Top Scorer: 1950, 1951, 1953, 1954, 1955
  • One-time Olympic Gold Medal
  • One-time Olympic Games Top Scorer
2. Franco Baresi
 Zao la chuo cha mafunzo cha mahasimu wao Inter Milan, alishindwa kufanya vizuri alipokua mdogo uamuzi uliomfanya rais wa Intermilan wamuuze kwa mahasimu wao AC Milan. Alicheza mechi zipaazo 719 alipokua klabuni hapo na kua mwiba mkali sana wa Inter Milan kila timu hizo mbili hasimu zilipokua zinacheza.
.
Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • UEFA Champions league: 1989, 1990, 1994.
  • Intercontinental Cup: 1989, 1990.
  • European Supercup: 1989, 1990,1994.Italian
  • Serie A:1978-1979, 1987-1988, 1991-1992, 1992-1993, 1993-1994, 1995-1996.
  • Serie B: 1981, 1983
  • Italian Super Cup: 1988, 1992, 1993, 1994.
  • Mitropa Cup: 1982
Mafanikio Binafsi

  • European Silver Ball Footballer of the Year France Football1989
  • Top Scorer Italian Cup : 1990
  • Italian League The best player of the year: 1990
  • Silver in Best world player of the year IFFHS : 1989
  • AC Milan player of the Century (1999)
  • FIFA 100
  • Named Italian Player of the 20th Century by FIGC
1. Paolo Maldini
El Capitano
Baada ya kupata nafasi ya kucheza kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16 mnamo mwaka 20th Januari 1985. Maldini alifanikiwa kucheza mpira kwa kipindi cha miongo miwili na nusu (miaka 25).
Akiwa kiongozi kati ya viongozi na mtu aliyemshindi Paolo maldini ni zawadi toka kwa mungu ambayo dunia haijawahi kuiona.

Mafanikio katika klabu ya AC Milani
  • Serie A: 1987-88, 1991-92, 1992-93, 1993-94, 1995-96, 1998-99, 2003-04
  • Coppa Italia: 2002-03
  • Supercoppa Italiana:1988, 1992, 1993, 1994, 2004
  • European Cup/Champions League: 1988-89, 1989-90, 1993-94, 2002-03, 2006-07
  • UEFA Super Cup: 1989, 1990, 1994, 2003, 2007
  • Intercontinental Cup:1989, 1990
  • FIFA Club World Cup: 2007
Mafanikio Binafsi

  • Under-21 European Footballer of the Year: 1989
  • FIFA World Cup Team of the Tournament:: 1994
  • UEFA European Championship Team of the Tournament: 1988, 1996, 2000
  • FIFA World Cup All-Star Team: 1990, 1994
  • UEFA Champions League Final Man of the Match: 2003
  • 1995 FIFA World Player of the Year: Silver Award
  • Ballon d'Or Bronze Award: 1994, 2003
  • Serie A Defender of the Year: 2004
  • FIFA 100
  • UEFA Team of the Year: 2003, 2005
  • ESM Team of the Year: 1994-95, 1995-96, 1999-2000, 2002-03
  • FIFPro World XI: 2005
  • UEFA Champions League Best Defender: 2007
  • Italy captain: 1994-2002
  • UEFA Champions League Achievement Award: 2009
  • AC Milan all-time highest number of appearances: 902
  • UEFA Champions League Record of most appearances: 168
  • Serie A highest number of appearances: 647

 TOA MAONI YAKO
JE, NANI UNAHISI ANGETAKIWA AINGIE KUCHUKUA NAFSI YA NANI...!!!!
 SOURCES: acmilan.com, uefa.com, goal.com, na football encyclopedia.

No comments:

Post a Comment