Wednesday 7 June 2017

MAMBO 10 USIYO YAJUA KUHUSU BARA LA ASIA - SEHEMU YA PILI

By sirgwaje
#1.
Inakadiriwa kua Genghis Khan aliua watu milioni 40 barani Asia na Ulaya.

#2.
Watu katika bara la Asia na Africa hulazimika kutembeaumbali mrefu  wa maili 3.7 (kilomita 6) kuteka maji.

#3.
Mende ni chakula muhimu katika nchi za China, Thailand na nchi nyingine za bara la Asia.

#4.
2010 Asia ilikua na Milionea 3.4 milioni, ikiwa nyuma ya bara la America Kaaskazini lenye idadi ya Milionea 3.4 milioni.

#5.
Alexender the Great  alikua ni mfalme wa Macedonia, Pharaoh wa Misri, Mfalme wa Persia, na mfalme wa Asia.

#6.
2016, mpishi wa vyakula mtaani wa nchini Singapore, alipewa tuzo ya heshima ya Michelin Star.

#7.
Wazima moto wa nchini Dubai hutumia majaketi ya gesi kupanda juu ya majengo marefu kuzima moto.

#8.
1912, akiwa kijana mdogo raisi wa zamani wa Vietnam Ho Chi Minh alikua kama mpishi katika meli za kijeshi za Marekani.

#9.
100,000 ni idadi ya Chui wa Asia karne moja iliyopita. Lakini hivi leo kuna chui wapatao 3200 tuu kutokana na uwindaji haramu.

#10.
Mlima mrefu zaidi duniani Mlima Everest hupatika barani Asia.

"SUCCESS DOES NOT FOLLOW A TIME CLOCK"

THANKS FOR VISITING OUR SITE  
CREDIT: bbc.com, encyclopedia.com, historia.com