Friday 9 June 2017

Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu Bara la Asia - Sehemu Ya 1

By Evarist G.I  


#1.
Zaidi ya watu bilioni 4 na 30% ya ardhi ya dunia yote, Asia ni sehemu kubwa zaidi  na ndio bara lenye idadi kubwa ya watu.

#2.
Dini kubwa zaidi 5 ambazo huabudiwa duniani asili yake imetokea katika bara la Asia, Ukristo, Uislamu, Uhindu na Dini ya Kichina(Chinnese Folk Religion) na Ubudha.

#3.
90% ya Mchele wote duniani huliwa katika bara la Asia.

#4.
Ubongo wa nyani huliwa kama chakula ghali sana katika nchi za Uchina, Kusini mwa Asia na Africa.

#5.
Kinyume na inavyodhaniwa Chui pori (Wild Tigers) hawapatikani barani Africa, hupatikana katika bara la Asia tuu.




#6. 
Mtu zaidi tajiri katika bara la Asia bwana Ka-shing Li, aliacha shule akiwa na  umri wa miaka 15.

#7.
Ukristu ulianza kama sehemu ya pili ya kanisa la Kiyahudi katikati mwa karne ya 1 huko Judea. Kwa haraka sana Ukristu ulisambaa Mesopotamia, Ulaya, Asia na katika karneya 4 ukristu ulikua ndio kanisa teule la utawala wa Kirumi.

#8. 
Nepal ndio nchi ya kwanza barani Asia kuhalalisha ndoa ya jinsia moja. Pia ilipiga marufuku hukumu ya kifo.

#9.
Nusu ya Asia na Africa na tatu ya nne ya Ulaya ya nyumba zote hulipia kodi ya Television.

#10.
Ufilipino ndio nchi yenye intaneti iliyo na spidi ndogo zaidi masahariki mwa bara la Asia, intaneti spidi yake ni 3.5 MBPS.

"SUCCESS DOES NOT FOLLOW A TIME CLOCK"

THANKS FOR VISITING OUR SITE 

 Credit: HISTORY.COM, ENCYCLOPEDIA, ASIAN MAGAZINES.