#1.
Zaidi ya watu bilioni 4 na 30% ya ardhi ya dunia yote, Asia ni sehemu kubwa zaidi na ndio bara lenye idadi kubwa ya watu.
#2.
Dini kubwa zaidi 5 ambazo huabudiwa duniani asili yake imetokea katika bara la Asia, Ukristo, Uislamu, Uhindu na Dini ya Kichina(Chinnese Folk Religion) na Ubudha.
#3.
90% ya Mchele wote duniani huliwa katika bara la Asia.
#4.
Ubongo wa nyani huliwa kama chakula ghali sana katika nchi za Uchina, Kusini mwa Asia na Africa.
#5.
Kinyume na inavyodhaniwa Chui pori (Wild Tigers) hawapatikani barani Africa, hupatikana katika bara la Asia tuu.
#6.
Mtu zaidi tajiri katika bara la Asia bwana Ka-shing Li, aliacha shule akiwa na umri wa miaka 15.
#7.
Ukristu ulianza kama sehemu ya pili ya kanisa la Kiyahudi katikati mwa karne ya 1 huko Judea. Kwa haraka sana Ukristu ulisambaa Mesopotamia, Ulaya, Asia na katika karneya 4 ukristu ulikua ndio kanisa teule la utawala wa Kirumi.
#8.
Nepal ndio nchi ya kwanza barani Asia kuhalalisha ndoa ya jinsia moja. Pia ilipiga marufuku hukumu ya kifo.
#9.
Nusu ya Asia na Africa na tatu ya nne ya Ulaya ya nyumba zote hulipia kodi ya Television.
#10.
Ufilipino ndio nchi yenye intaneti iliyo na spidi ndogo zaidi masahariki mwa bara la Asia, intaneti spidi yake ni 3.5 MBPS.
"SUCCESS DOES NOT FOLLOW A TIME CLOCK"
THANKS FOR VISITING OUR SITE
Credit: HISTORY.COM, ENCYCLOPEDIA, ASIAN MAGAZINES.