Friday 28 April 2017

Mambo 10 Yakustaajabisha Kumhusu Nelson Mandela

By TheActiveDream
Nelson Mandela (1918-2013)
Nelson Mandela alikua akipendwa na kuheshimiwa na watu ulimwenguni kote, aliweza kutumiwa katika filamu na vitabu mbalimbali, na aliweza kupewa tuzo na zawadi kemukemu. Japokua alikua ni mtu maarufu sana duniani lakini kuna baadhi ya mambo ambayo ungependa uyajue zaidi.

"Education is the most powerful weapon which you can use to change the world."
Nelson Mandela

Jambo#1
Nelson Mandela ndiye Rais wa kwanza wa Afrika Kusini aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia.
Jambo#2
Nelson Mandela ni mwanaharakati mpiganaji wa ubaguzi wa rangi Apertheid Policy, na alikua mwenyeketi wa chama cha African National Congress (ANC).

Jambo#3
Nelson Mandela alitumikia kifungo cha miaka 27 jela, kati ya kipindi hicho alichokua anatumikia kifungo hicho alikua katika kiswa cha Robben.

Jambo#4
Nelson Mandela Alitunukiwa tuzo ya mshindi wa Nobel mnamo 1993. 

Jambo#5
Jina halisi la Nelson Mandela ni Rolihlahla Mandela.
Jambo#6
Katika muda wake wa ziada Nelson Mandela aliutumia kujifunza kuwa Mwanasheria.

Jambo#7
Chakula alichokua akikipenda zaidi ni Uji na matunda na maziwa freshi.

Jambo#8
Nelson Mandela alizaliwa katika kijiji cha Mvezo tarehe 18 julai 1918.

Jambo#9
Nelson Mandela anashahada za heshima za elimu ya chuo kikuu zaidi ya vyuo 50 duuniani kote.

Jambo#10
Nelson Mandela alistaafu maisha ya uma mnamo 1999 juni na kwenda kuishi kijijini kwake alipozaliwa hadi mauti yalipo mpata mwaka 2013.

THANKS FOR VISITING US!
SHARE TO YOUR FRIENDS 
&
COMMENT HAPO CHINI..
 
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure. Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business

"Lazima uheshimu watu, na lazima uheshimu fedha. Baba yangu aliniambia: 'Unapoheshimu pesa, fedha zitakuheshimu.'  
Yaya Toure"
 
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure. Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
 
WASASILIANA NASI KUPITIA 
Mob No: 0171411775 / 0753033101 / 0715411245
Barua Pepe: isdorykitunda@gmail.com/sirgwaje@gmail.com 
 
Credit: Historia, Nelson Mandela and theactivedreaM_countdown

No comments:

Post a Comment