Saturday 12 August 2017

Mambo 10 Usiyo Yajua Kuhusu Dini ya Ubudha SEHEMU 2

By: LivingDreamer

#11.
Katika imani ya Kibudha, mtu kujinyonga ni kupoteza nafasi muhimu ya kutengeneza maisha yake baada ya kifo.

#12.
Viongozi wa dini ya Ubudha hawatakiwi kuua kiumbe chochote kile kwa namna yoyote, hata wadudu wadogo kama nzi au mbu.

#13.
China ndiyo nchi inayo ongoza kwa kuwa na idadi kubwa waumini wa dini ya Budha. Inakadiriwa inawaumini 244 milioni ambayo ni sawa na asilimia 18% tuu ya watu wote nchini China.

#14.
Ubudha huamini binadamu ni sehemu ya asili,  na haitofautishi asili na binadamu kama vitu viwili tofauti.

#15.
Baadhi ya jamii ya Wachina hutumia plastiki zenye sura ya Budha na kuvisha matunda ya Peazi ili yafanane na sura ya budha.

#16.
Dalai Lama wa sasahivi alichaguliwa kuwa kiongozi akiwa na umri wa miaka 2  na kuapishwa kama Dalai Lama wa 14 akiwa na umri wa miaka 4.

#17.
Tofauti na dini nyinginezo Dalai Lama kazi yake ni kutafuta imani ya mtu na kumfanya asimame katika imani yake na sio kumbadilisha dini/imani.

#18.
Akiwa kijana mdogo Steve Jobs alisafiri kwenda India kutaalamika na kurudi kama muumini wa dini ya Ubudha.

#19.
Lama wa kipindi cha kale walikua wakipakwa siagi kisha kupakwa dawa.

#20.
Swastika ni alama iliyotumiwa katika dini za Uhindu, Ubudha, na Jainism kama alama ya utambulisho wa dini yao. 

THANKS FOR VISITING US!
SHARE TO YOUR FRIENDS 
&
COMMENT HAPO CHINI..
 
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure. Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business

"Huwezi kuadhibiwa kwa hasira yako, utaadhibiwa na hasira yako."
Gautama Buddha
 
There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work, and learning from failure. Colin Powell
Read more at: https://www.brainyquote.com/quotes/quotes/c/colinpowel121363.html?src=t_business
 
WASASILIANA NASI KUPITIA 
Mob No: 0171411775 / 0753033101 / 0715411245
Barua Pepe: isdorykitunda@gmail.com/sirgwaje@gmail.com

No comments:

Post a Comment